Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

Jamaa wa Manure akibeti kijingajinga imekula kwake, shenzy type!
 
Yaani huko hata akiwa mtabiri feki ataaminika tu. 😀😀

Hongereni Swahiba japo niseme extra time ndio iliyowaokoa mana wale jamaa sio. 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Wao walishindwa nini kuitumia hiyo extra time? Arguments za kitoto!
 
Kloop hajui kucheza na timu zinazocheza samba

Klop huwezi kuchukua hili kombe
Gengenpress yake hufanya kazi kwa timu zinazocheza soka za kujilinda

Flamingo itamtafuna jogoo wa uingereza kwa goli tatu katika mchezo wa club bingwa wa dunia

Kuweka kumbukuku sawa Liverpool hajawahi kuchukua hili kombe hata Mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi umeshaznduka?
Nimuite Fermino tena uzimie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa. Umejuaje Mkubwa? 🤔🤔🤔

Pia yamekujaje hayo. 😎😎😎 Ila mshukuruni sana Firmino. 🏃‍♀️🏃‍♀️
Ngoja nimshukuru Firmino maana tulimtoa Manure kuja kutufungia goli! Flamenco itabidi mtusamehe tumechezesha mchezaji wa Manure kwa mujibu wa Shadeeya!
 
Sema wale mabeki wa flamingo wanakaba sio kitoto kwakweli maana sio kwa style ile ya kukata umeme.
 
Utakuta aliyeandika huu upuuzi ni baba wa familia kabisa ana mke na watoto.
Mtani huwa nakuona kwenye uzi wa Liverpool ujue.

Nawaza nchecheto uliokuwa nao jana baada ya kumaliza 90 mins mkiwa patupu. 😅
 
Back
Top Bottom