Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Swahiba kwa sasa hawa wanapaswa kuitabiri mvua tu. ๐๐๐Mrithi wa sheikh yahya huko uliko sijui unajisikiaje kwa utabiri wako wa kinafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swahiba kwa sasa hawa wanapaswa kuitabiri mvua tu. ๐๐๐Mrithi wa sheikh yahya huko uliko sijui unajisikiaje kwa utabiri wako wa kinafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Swahiba kwa sasa hawa wanapaswa kuitabiri mvua tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipee mrejesho mzee! Nani kachukua kombe?Kloop hajui kucheza na timu zinazocheza samba
Klop huwezi kuchukua hili kombe
Gengenpress yake hufanya kazi kwa timu zinazocheza soka za kujilinda
Flamingo itamtafuna jogoo wa uingereza kwa goli tatu katika mchezo wa club bingwa wa dunia
Kuweka kumbukuku sawa Liverpool hajawahi kuchukua hili kombe hata Mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekua kinyume chake lakini, Liver kamchinja mtuDuuh!
Hili Jamaa limebeti Kijinga lishabakwa na Muhindi
๐ kweli kabisa swahibaSwahiba kwa sasa hawa wanapaswa kuitabiri mvua tu. ๐๐๐
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili Jamaa limebeti Kijinga lishabakwa na Muhindi
mkuu kijana atakuwa anaizungumzia ile ambayo ilimpiga barca wakiwa na messi wao goli 4Pale Kuna liverpool zaidi ya 4, kuna liverpopol academy, kuna liverpool kids, kuna under 23, kuna liverpool women's na kuna Liverpool fc mabingwa wa ulaya na wanaongoza EPL mkapa saa baada ya mechi 17
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huko hata akiwa mtabiri feki ataaminika tu. ๐๐๐ kweli kabisa swahiba