Liverpool katobolewa huku

Liverpool katobolewa huku

Msimu huo hakufungwa acha uongo apa...alishinda mechi 26 akadroo game 12...msimu aliofungwa ni uliofuata wa 2004/2005 mwezi october na Man u 2-0.
Arsenal mpaka anachukua Ubingwa wa Epl alikua hajafungwa. Lkn ktk msimu wake huo huo 2003/2004 Alifungwa na Utd na si kwamba Alimaliza ligi pasina kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom