Poleni wakuu record ya AW sio nchezo …..InvincibleView attachment 1373108
Arsenal mpaka anachukua Ubingwa wa Epl alikua hajafungwa. Lkn ktk msimu wake huo huo 2003/2004 Alifungwa na Utd na si kwamba Alimaliza ligi pasina kufungwa.Unbeaten watabaki Arsenal tu.
Kwanza Liverpool wamesababisha ije Corona ili tu wasibebe kombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal mpaka anachukua Ubingwa wa Epl alikua hajafungwa. Lkn ktk msimu wake huo huo 2003/2004 Alifungwa na Utd na si kwamba Alimaliza ligi pasina kufungwa.
Alifungwa kwenye FA fainaliArsenal mpaka anachukua Ubingwa wa Epl alikua hajafungwa. Lkn ktk msimu wake huo huo 2003/2004 Alifungwa na Utd na si kwamba Alimaliza ligi pasina kufungwa.