Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TutakeshaHizo fact tafadhari
Liva ana nafas kubwaYeyote anaweza beba!!
hilo ni jambo gumu kutokeaTottenham anachukua pin my comment
Baba swalehe unachanganya ushabiki na matokeo baada ya dk 90! Yeyote anaweza beba! Liverpool anaweza beba, na kama asipobeba liverpool, bas atabeba Tot so lazima mmoja abebe....Kila mmoja ana nafas ya kubeba B. Swalehe. Usi-base huko unakotaka kuelekea.Liva ana nafas kubwa
[emoji4][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]Baba swalehe unachanganya ushabiki na matokeo baada ya dk 90! Yeyote anaweza beba! Liverpool anaweza beba, na kama asipobeba liverpool, bas atabeba Tot so lazima mmoja abebe....Kila mmoja ana nafas ya kubeba B. Swalehe. Usi-base huko unakotaka kuelekea.
Apia baba swaleheHabarin wakuu ,
Moja kwa moja mpaka kwenye mada , liverpool kesho hatokua na namna nyingine zaidi ya kulitwaa hilo kombe ...
Nina facts kama 30 na calculations nne za kuthibitisha hilo ... Nikiziweka hapa tutakesha ni kitabu cha page hamsin
Nawapa pole ndugu zangu wa pale london kwamba kesho hatuna namna zaidi ya kuwachachafya
Karibu ...
View attachment 1112818
Hakya nan tenahApia baba swalehe
HahahaWeka facts Kati ya hizo 50 weka strong 10 tu nje ya hapo ni kuchoshana tu.
TATHung min son