Liverpool kesho anachukua ubingwa

Liverpool kesho anachukua ubingwa

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
20,178
Reaction score
39,641
.
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    9.6 KB · Views: 54
Baba swalehe unachanganya ushabiki na matokeo baada ya dk 90! Yeyote anaweza beba! Liverpool anaweza beba, na kama asipobeba liverpool, bas atabeba Tot so lazima mmoja abebe....Kila mmoja ana nafas ya kubeba B. Swalehe. Usi-base huko unakotaka kuelekea.
[emoji4][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Habarin wakuu ,

Moja kwa moja mpaka kwenye mada , liverpool kesho hatokua na namna nyingine zaidi ya kulitwaa hilo kombe ...

Nina facts kama 30 na calculations nne za kuthibitisha hilo ... Nikiziweka hapa tutakesha ni kitabu cha page hamsin

Nawapa pole ndugu zangu wa pale london kwamba kesho hatuna namna zaidi ya kuwachachafya

Karibu ...
View attachment 1112818
Apia baba swalehe
 
Back
Top Bottom