Nitakukumbusha matokeo baada ya dk 90 ya mchezo.Hakuna kitu kama hicho utanikumbuka
Kocha kutoka mwishoLampard ndo kocha bora msimu huu hutaamani macho yako ifikapo kesho
Mengine yote hata sijayaona, jicho limenasa hapa tu.last bone wa mwenyezi Mungu
Dogo kesho usikimbie huu uziMashabiki wa Liverpool achen kujifariji kesho mtalia na kusaga meno