Liverpool kesho jiandae kwa kichapo hatunaga mzaha kwenye fainali

Liverpool kesho jiandae kwa kichapo hatunaga mzaha kwenye fainali

Amani iwe nanyi wakuu

Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea

Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea

Arsenal alitoka kutupiga 2 kwa sikio lakin tulipokutana naye fainal za europer anajua kilichotokea

Kwahiyo jianzadae kulaluliwa

Liverpool utaisoma namba hapo kesho

Chelsea one love

Chelsea boy

LONDON BOY
NANYUPU
last bone wa mwenyezi Mungu
Juzi ulikimbia uliponda sana man u na arsenal na tena liver.. umeona sasa Chelsea kafa kwa liver.. uwe unawekaka akiba ya maneno
 
Kwangu Mimi hii game ngum sana si rahisi kusema nan atashinda. Manchester united tulipata matokeo mazuri dhidi ya Chelsea si kwa sabab walicheza vbaya hpn yalikua makosa madogomadogo sana yaliyosababisha mattzo ikiwemo kutokuwaheshim wapinzani na uwanja wa ugenini. Mimi utabiri wangu nampa Chelsea kutwaa super cup [emoji120][emoji120][emoji120]
mpe
 
mpaka sasa ulianzisha hii post unatamani ifutwe maana unaumia rohoni
 
Back
Top Bottom