Amani iwe nanyi wakuu
Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea
Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea
Arsenal alitoka kutupiga 2 kwa sikio lakin tulipokutana naye fainal za europer anajua kilichotokea
Kwahiyo jianzadae kulaluliwa
Liverpool utaisoma namba hapo kesho
Chelsea one love
Chelsea boy
LONDON BOY
NANYUPU
last bone wa mwenyezi Mungu
Lampard ndo kocha bora msimu huu hutaamani macho yako ifikapo kesho
Uzi wake ule nliutafuta kweli wa kuponda man uMkifungwa usije futa uzi maana ndo zako
Chelsea kesho mnafungwa vibaya mno.
Usiache kuangalia mechi leoChelsea kesho mnafungwa vibaya mno.
Halafu leo Refa mwanamke,lazima niangalie.Usiache kuangalia mechi leo
Mna team ya kuifunga Liverpool? Mimi siyo mpenzi wa Liverpool kabisa. Ila ninasema tu ukweli. Chelsea hamna team ya kuifunga Liverpool.Sahau
Utashangaa macho yakoMna team ya kuifunga Liverpool? Mimi siyo mpenzi wa Liverpool kabisa. Ila ninasema tu ukweli. Chelsea hamna team ya kuifunga Liverpool.
Halafu leo Refa mwanamke,lazima niangalie.
Mna team ya kuifunga Liverpool? Mimi siyo mpenzi wa Liverpool kabisa. Ila ninasema tu ukweli. Chelsea hamna team ya kuifunga Liverpool.
Man united.Wewe team gani mkuu