nilivyoangalia mchezo wa leo baina ya Liverpool na Chelsea nikajikuta nina miss tena mashindano ya FIFA Women World Cup. Timu zoite mbili zilicheza hovyo sana; naona kama haziwezi kuzikabili timu za wanawake za USA, France, Netherlands na Sweden na England