bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Juzi ulikimbia uliponda sana man u na arsenal na tena liver.. umeona sasa Chelsea kafa kwa liver.. uwe unawekaka akiba ya manenoAmani iwe nanyi wakuu
Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea
Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea
Arsenal alitoka kutupiga 2 kwa sikio lakin tulipokutana naye fainal za europer anajua kilichotokea
Kwahiyo jianzadae kulaluliwa
Liverpool utaisoma namba hapo kesho
Chelsea one love
Chelsea boy
LONDON BOY
NANYUPU
last bone wa mwenyezi Mungu
mpeKwangu Mimi hii game ngum sana si rahisi kusema nan atashinda. Manchester united tulipata matokeo mazuri dhidi ya Chelsea si kwa sabab walicheza vbaya hpn yalikua makosa madogomadogo sana yaliyosababisha mattzo ikiwemo kutokuwaheshim wapinzani na uwanja wa ugenini. Mimi utabiri wangu nampa Chelsea kutwaa super cup [emoji120][emoji120][emoji120]
πππInstabul is another Anfield
Imekuwa marefa tena London boy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430]Bahati yenu
Marefa walikuwa wameandaliwa ili Liverpool abebe ubingwa
Nyee nyeeBahati yenu
Marefa walikuwa wameandaliwa ili Liverpool abebe ubingwa