Liverpool leo anakufa asubuhi na mapema

Liverpool leo anakufa asubuhi na mapema

endrizzy

Senior Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
186
Reaction score
137
nikiwa kama shabiki nguli wa manchester nimeangalia games nyingi sana kati ya liverpool na manchester tokea man utd afe goli nne pale ot liver wamekua wanyonge sana mbele ya man utd hata wawe wabovu vp leo naamini liverpool pamoja na safu yake ya ushambuliaji butu anaenda kusimamishwa pale ot kwa kipigo kikali kutokwa kwa mashetani hao wa manchester...

kama unabisha weka beti niko tayari isipunguame laki.....
 
Kaweke kwa mhindi umchape mabilioni
 
IMG-20191020-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom