Kaka xhaka leo lazima atuokoe, maana ali tukazia mbwa huyu.Sunderland hii kipande?
Ubao uishe hivi hivi, au city abandikwe kamokoMan City zamu yenu
Ngoja tuone, ila mie bado nina imani na city kushinda hii gameKaka xhaka leo lazima atuokoe, maana ali tukazia mbwa huyu.
Adui muombee njaaUnamfukuza aliejuu uku unamuombea ajikwae. Mungu anajibu ombi moja. 😂😂😂
Nilitegemea haya.. GG ni ngumuGG unalia. Hadi sasa Liverpool - Leeds hamna aliemfunga mwenzie. HT.
Dk 65+ 0-0, kuna kitu hapaNgoja tuone, ila mie bado nina imani na city kushinda hii game
Huu mkeka una hatari Yaan umeweka GG Alaf liver anatoa sare tasaMimi leo nimebet game 3 za liverpool, man city na sparz game zote nimecheza option ya both teams to score
OkSawa.
Nasubiri 90 tuone, bado sina imani sanaDk 65+ 0-0, kuna kitu hapa
Kikubwa ashikwe na njaa tu, yangu nitajua mwenyewe.Asa ukimuombea njaa unasahau kujiombea na wewe mambo yako. Ndio kama hivi wanaangaika