CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Walinionyesha kuwa kila kitu kinawezekana ukiwa katika 'spirit ya hali ya juu sana'.
Barca japo ni timu bora na kubwa lakini spirit iliwaangusha.
Ajax japo walikuwa wazuri sana lakini walizidiwa na spirit ya Tottenham.
Nawashukuru sana. Na kizazi chote kijifunze kwao!