Yan mnamkataa mwanaume mtu mzima mnaenda kugawa penz kwakiben tenKama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
Kwamba top 4 hawaitaki?Kama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
Hakuna kitu kama hicho. Utunze energy ya kwenda kumpiga Madrid 4:0 kwake halafu isiwaze top fourππ. Ile iliyocheza jana ndo liver ya msimu huu, yule Nunez wa jana ndo wa msimu huu, liver ni mbovu2 tusitafute kichakaKama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
Ndo atamfunga 4-0 Madrid SantiagoKama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
We unadhani wazungu ni kama sisi Barcelona alimpiga liverpool 3 mtungi pale kwake kila mtu alijua mechi imeisha lakini Barcelona alipasuka 4 mtungi pale Anfield na liverpool akapita kwa ulaya liverpool ndio team inayoongoza kupindua matokeo kwenye UEFA champions league we kaa hapo subiri mechi ya yanga na tp mazembe team inafungwa goal tatu kipindi cha kwanza na hairudishi goal wazungu sio wajinga kama sisi.Hakuna kitu kama hicho. Utunze energy ya kwenda kumpiga Madrid 4:0 kwake halafu isiwaze top four[emoji41][emoji41]. Ile iliyocheza jana ndo liver ya msimu huu, yule Nunez wa jana ndo wa msimu huu, liver ni mbovu2 tusitafute kichaka
Mmeanza kushabikia lini mpira nyinyi Barcelona alipigwa nne Anfield tena ile Barcelona yenyewe na mesi alikuwepo ilikuwa hot sio hii ya sasa baada ya Barcelona kushinda 3 kwake mpira upo ulaya huko Africa ni ulozi tu ndio unacheza.Ndo atamfunga 4-0 Madrid Santiago
Nilichogundua mashabiki wa Manchester United mna chuki baada ya kufungwa week na jogoo we subiria maajabu kwenye UEFA champions league.Kwamba top 4 hawaitaki?
Jogoo kafa kwa utitiriJogoo limekoromaaaaa
Hapa ndipo mnapowageuza wazungu miungu bila kujua, ukiacha kumfunga man u.Hivi karibuni anachezaga nini liverpool.Kama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
Maajabu ya kukandwa5gNilichogundua mashabiki wa Manchester United mna chuki baada ya kufungwa week na jogoo we subiria maajabu kwenye UEFA champions league.