Liverpool oyee!

Liverpool oyee!

jarad

Member
Joined
Oct 1, 2022
Posts
5
Reaction score
28
Poleni sna. Hahahahh

20230311_201220.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
Yan mnamkataa mwanaume mtu mzima mnaenda kugawa penz kwakiben ten
 
Kama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
Kwamba top 4 hawaitaki?
 
Hakuna kitu kama hicho. Utunze energy ya kwenda kumpiga Madrid 4:0 kwake halafu isiwaze top four😎😎. Ile iliyocheza jana ndo liver ya msimu huu, yule Nunez wa jana ndo wa msimu huu, liver ni mbovu2 tusitafute kichaka
 
Kama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
Ndo atamfunga 4-0 Madrid Santiago
 
Hakuna kitu kama hicho. Utunze energy ya kwenda kumpiga Madrid 4:0 kwake halafu isiwaze top four[emoji41][emoji41]. Ile iliyocheza jana ndo liver ya msimu huu, yule Nunez wa jana ndo wa msimu huu, liver ni mbovu2 tusitafute kichaka
We unadhani wazungu ni kama sisi Barcelona alimpiga liverpool 3 mtungi pale kwake kila mtu alijua mechi imeisha lakini Barcelona alipasuka 4 mtungi pale Anfield na liverpool akapita kwa ulaya liverpool ndio team inayoongoza kupindua matokeo kwenye UEFA champions league we kaa hapo subiri mechi ya yanga na tp mazembe team inafungwa goal tatu kipindi cha kwanza na hairudishi goal wazungu sio wajinga kama sisi.
 
Ndo atamfunga 4-0 Madrid Santiago
Mmeanza kushabikia lini mpira nyinyi Barcelona alipigwa nne Anfield tena ile Barcelona yenyewe na mesi alikuwepo ilikuwa hot sio hii ya sasa baada ya Barcelona kushinda 3 kwake mpira upo ulaya huko Africa ni ulozi tu ndio unacheza.
 
Kwamba top 4 hawaitaki?
Nilichogundua mashabiki wa Manchester United mna chuki baada ya kufungwa week na jogoo we subiria maajabu kwenye UEFA champions league.
 
Kama uliangalia mechi unaona kabisa kwamba walikuwa wanacheza kwa kutunza energy dhidi ya Madrid maana hta iweje hawezi chukua premier league unadhani wazungu ni kama sisi wale watu wanacheza na plan hata angeshinda leo anaenda wapi subiria wakija kucheza na Madrid uone kama watakuja kucheza mpira kama wa leo ule utopolo.
Hapa ndipo mnapowageuza wazungu miungu bila kujua, ukiacha kumfunga man u.Hivi karibuni anachezaga nini liverpool.
 
Nilichogundua mashabiki wa Manchester United mna chuki baada ya kufungwa week na jogoo we subiria maajabu kwenye UEFA champions league.
Maajabu ya kukandwa5g
 
Back
Top Bottom