Liverpool Premier League Champions 2019/20

Watapewa walinyanyue lini???japo wamepika hukumu ya kesi hillsbrough disaster ili ku balance na ushindi wa ligi!!
 
Chelsea bhana dah! Ashawahi kumkazia Liverpool ubingwa Akapata ManCity.
Akamkazia Spurs ubingwa akapata Leicester City.
Leo tena amemkazia ManCity ubingwa kapata Liverpool.
Wanaingilia sana kesi zisizowahusu hawa jamaa...ManCity wanaenda kusimama kwa heshima pale Etihad.
 
Hata kama angefungwa bado liverpool alishakuwa bingwa tu
 
Hata kama angefungwa bado liverpool alishakuwa bingwa tu
Kivipi? Point zilitimia? mbona kila MTU na media zote zilitangaza Liver bingwa baada ya mechi ile?...kwanini hakutangazwa ubingwa juzi..maana mpaka Leo hajacheza bado?
 
Kivipi? Point zilitimia? mbona kila MTU na media zote zilitangaza Liver bingwa baada ya mechi ile?...kwanini hakutangazwa ubingwa juzi..maana mpaka Leo hajacheza bado?
Sasa kutafuta points 2 kwenye mechi 7 kulikuwa na ugumu gani?
 
Kwa sasa mpaka ligi iishe mutaendelea kupata vipigo vya mbwa koko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…