NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Watapewa walinyanyue lini???japo wamepika hukumu ya kesi hillsbrough disaster ili ku balance na ushindi wa ligi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mume wenuuuuHuna unachojua wewe
Hii so ndo inaitwa majanga, kushinda ashinde huyu, kombe apewe yule! Au apigwe hapa halafu avimbe kule!wameshinda cfc ubingwa kapewa yeye [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama angefungwa bado liverpool alishakuwa bingwa tuChelsea bhana dah! Ashawahi kumkazia Liverpool ubingwa Akapata ManCity.
Akamkazia Spurs ubingwa akapata Leicester City.
Leo tena amemkazia ManCity ubingwa kapata Liverpool.
Wanaingilia sana kesi zisizowahusu hawa jamaa...ManCity wanaenda kusimama kwa heshima pale Etihad.
Kivipi? Point zilitimia? mbona kila MTU na media zote zilitangaza Liver bingwa baada ya mechi ile?...kwanini hakutangazwa ubingwa juzi..maana mpaka Leo hajacheza bado?Hata kama angefungwa bado liverpool alishakuwa bingwa tu
Sasa kutafuta points 2 kwenye mechi 7 kulikuwa na ugumu gani?Kivipi? Point zilitimia? mbona kila MTU na media zote zilitangaza Liver bingwa baada ya mechi ile?...kwanini hakutangazwa ubingwa juzi..maana mpaka Leo hajacheza bado?
Nilidhani ulimàanisha point zilitimia kumbe zilikua bado 2Sasa kutafuta points 2 kwenye mechi 7 kulikuwa na ugumu gani?
Kazi ilishaisha mapema sana, ni Korona tu ilicheleweshaNilidhani ulimàanisha point zilitimia kumbe zilikua bado 2
Daaa...Hii so ndo inaitwa majanga, kushinda ashinde huyu, kombe apewe yule! Au apigwe hapa halafu avimbe kule!
Thathatha tha thu thuCORONA CUP😀😀
BalaaaaDaaa...
HahahahahahKwa sasa mpaka ligi iishe mutaendelea kupata vipigo vya mbwa koko..
Southampton ndio kamsaidia LiverpoolHongera Chelsea kwa Ushindi, hongereni kumsaidia Liverpool kuondoa gundu la Miongo tatu!
SureSouthampton ndio kamsaidia Liverpool