Tukiwa tunaongoza ligi after 3wins and 1 draw,kesho tunaenda kuongea point 3 muhimu kwan soton hawana uwezo wa kuchinja jogoo....!Mliotubeza baada ya 2-2 draw v swansea napenda kuwajuza swansea sio timu ya kubeza na aina ya mpira tunaojifunza kucheza wao ndio style yao,natumai mnajua kipigo alichopata valencia jana ktk uwanja wake wa nyumban(mestalla).kapgwa 3 bila.U'LL NEVER WALK ALONE..go go go go go go go go go go go lfc