Liverpool special thread

Liverpool special thread

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Tukiwa tunaongoza ligi after 3wins and 1 draw,kesho tunaenda kuongea point 3 muhimu kwan soton hawana uwezo wa kuchinja jogoo....!Mliotubeza baada ya 2-2 draw v swansea napenda kuwajuza swansea sio timu ya kubeza na aina ya mpira tunaojifunza kucheza wao ndio style yao,natumai mnajua kipigo alichopata valencia jana ktk uwanja wake wa nyumban(mestalla).kapgwa 3 bila.U'LL NEVER WALK ALONE..go go go go go go go go go go go lfc
 
Mkuu haikua na haja ya kufungua uzi mwngne uzi wa chama letu pendwa upo ndani tiari...!!!
 
Mbona uzi upo muda mrefu? Tatizo wadau wa timu wenyewe hamueleweki, timu ikianza kufungwa mnapotea kwenye uzi wenu.
 
Mmeamua kuja kujificha huku sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom