Liverpool team yangu ila hii imebidi nicheke

Liverpool team yangu ila hii imebidi nicheke

Heijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
5,466
Reaction score
8,937
Funny
IMG-20181210-WA0003.jpeg
 
Liverpool next 6 fixtures

Napoli H
Man Utd H
Wolves A
Newcastle H
Arsenal H
Man city A
Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba
 
Wenye nafasi zao wanakuja
Lazima apoteze mechi kama 3 kati hizo zote
 
Hata kipind Leicester anachukua watu walijiuliza uliza mwisho wanaume wakabeba kombe....MUDA NI MUAMUZI WA KWELI...SO TUSUBILI TU
 
Liver bado hawajacheza katika kiwango tunachoamini wanaweza ukitoa mechi ya PSG home lakini tuko top sasa tukiweka gear zetu tutakimbiza tu. Tumeona City juzi hata wao mambo yakienda mrama tu wanapoteana.
 
Liverpool next 6 fixtures

Napoli H- tutashinda 3-1/1-0
Man Utd H-tutashinda 2-1/1-1
Wolves A tunashinda 3-0
Newcastle -tunashinda 4-0
Arsenal H- draw 1-1/0-0
Man city A tunashinda 1-0
Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba
-HAPO MECHI NGUMU KWETU NI HIYO YA MAN U TU
 
Hakuna timu ya kuifunga Liverpool kwenye Premier League. Bingwa ni Liverpool.
 
Liverpool next 6 fixtures

Napoli H
Man Utd H
Wolves A
Newcastle H
Arsenal H
Man city A
Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba

Hii ngumu kumeza, wakitifua hii lazima wabebe ndo moja hapo
 
Hakuna timu ya kuifunga Liverpool kwenye Premier League. Bingwa ni Liverpool.

Acha ushabiki mahaba, angalia uhalisia safari bado ndefu sana, Kama Red star walitufunga
 
Liverpool next 6 fixtures

Napoli H
Man Utd H
Wolves A
Newcastle H
Arsenal H
Man city A
Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba
Nakumbuka mzunguko wa kwanza kipindi kile tulipangiwa mechi na zilikua Kali zaidi ya hizo... aliyeweza kutufunga ni Napol peke yake
 
Hakuna kikaragosi cha kusumbua majogoo wa Jiji, tunaenda kuwanyoosha mwaka huu mpaka maji muite mma.

Tunaanza na Napoli kesho kupiga bakora then tunakuja kwa wambea wote Epl.
 
Acha ushabiki mahaba, angalia uhalisia safari bado ndefu sana, Kama Red star walitufunga
Red star wapo kwenye Premier?Mimi narudia kwenye Premier League hakuna timu ya kuwafunga Majogoo wa Anfield.
 
Back
Top Bottom