Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-HAPO MECHI NGUMU KWETU NI HIYO YA MAN U TULiverpool next 6 fixtures
Napoli H- tutashinda 3-1/1-0
Man Utd H-tutashinda 2-1/1-1
Wolves A tunashinda 3-0
Newcastle -tunashinda 4-0
Arsenal H- draw 1-1/0-0
Man city A tunashinda 1-0
Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba
Ingawa sisi man u ni wabovu ila hiyo ni Darby lazima iwe ngumu-HAPO MECHI NGUMU KWETU NI HIYO YA MAN U TU
Liverpool next 6 fixtures
Napoli H
Man Utd H
Wolves A
Newcastle H
Arsenal H
Man city A
Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba
Hakuna timu ya kuifunga Liverpool kwenye Premier League. Bingwa ni Liverpool.
It won't fall
Nakumbuka mzunguko wa kwanza kipindi kile tulipangiwa mechi na zilikua Kali zaidi ya hizo... aliyeweza kutufunga ni Napol peke yakeLiverpool next 6 fixtures
Napoli H
Man Utd H
Wolves A
Newcastle H
Arsenal H
Man city A
Tunasubiri unbeaten baada ya hiyo ratiba
chelsea hakuwafunga?Nakumbuka mzunguko wa kwanza kipindi kile tulipangiwa mechi na zilikua Kali zaidi ya hizo... aliyeweza kutufunga ni Napol peke yake
kwenye lile kombe la mbuzi??chelsea hakuwafunga?
Red star wapo kwenye Premier?Mimi narudia kwenye Premier League hakuna timu ya kuwafunga Majogoo wa Anfield.Acha ushabiki mahaba, angalia uhalisia safari bado ndefu sana, Kama Red star walitufunga
Hivi Darby maana yake nini? Mi najua Darby ni timu zinapotoka mji mmoja kukutana kwenye mechiIngawa sisi man u ni wabovu ila hiyo ni Darby lazima iwe ngumu