Liverpool Vs Man Utd: Kesho Mourinho anaenda kupaki Meli

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kama mjuavyo Anfield ni uwanja mgumu sana kwa Man Utd, Meneja wa Man Utd Jose Mourinho anawakosa wachezaji muhimu kama Pogba na Fellaini lwenye idara ya kiungo. Hivyo namuona Jose kesho atakavyojihami kwa kupaki Meli na wala sio basi tena ili kuzuia kasi ya Liverpool.

Nategemea kesho wachezaji kama Darmian, Ashley Young na Lingard kuanza first eleven huku muda mwingi wakikaba sana katka formation ya 7-3-0

Martial hana nafasi kwa mechi ya kesho kwa akili za Jose.

Pamoja na mbinu zote za kujihami zitakazotumiwa na Jose, Man Utd kesho atafungwa na kupata kipigo chake cha kwanza cha msimu ktk ligi.

Asanteni.
Mapovu ruksa.
 
Kesho Martial anamagoli yake ya kutosha tu
 
7-3-0 [emoji23][emoji23][emoji23] am dead [emoji88]
 
...tena meli double decker!!
 
Umesahau kuwa kuna Herrera kwenye midfield. Benchi yupo Blind na Carrick km backup.

Mbele wapo wote.Mkienda mmekariri mtaumizwa vibaya muno
Carrick majeruhi ndugu,hatokuwepo kwa mujibu Wa Mwl.
 
Mwl. Amesema kesho atatumia mfumo Wa 1-0-9. Kuhusu atmosphere ya An field amesema yeye na wachezaji wake kamwe hawajawahi kutamani kucheza kwenye uwanja usiochangamka.
Tutaona na kale kamsemo...
 
YNWA..........😛
 
Beki zenyewe za kina Moreno na Matip... Kesho Liverpool mnachezea za kutosha. United wapo kwenye form sana. Kesho Liverpool ikipata shots on target hata mbili nahama JF.
 
Beki zenyewe za kina Moreno na Matip... Kesho Liverpool mnachezea za kutosha. United wapo kwenye form sana. Kesho Liverpool ikipata shots on target hata mbili nahama JF.
eti!?!?! ufungue account mpya tu..
Tusikuone tena na hii
 
Kesho atapigwa mtu sana utapigwa mwingi sana! Nimefurahi Felaini hayupo Herrera afanya uchafu wake pale kati alaf yupo mpiga piano hatari Matic mtu mbaya sana yule jamaa! Na roho inauma Mane kaumia mmepata kisingizio!
 
Yote kwa yote kwa kipindi hiki game imekuja mapema sn kwa Liverpool kwani wamepata ushindi mmoja katika mechi 7 huku wakiambulia sare 5.Na kuelekea ktk mchezo huu Liverpool wana tatizo kubwa katika idara ya ulinzi ambayo imeruhusu magoli mengi ni mepesi hata timu inayocheza engl league 3 hawaruhusu kirahisi hivi.Ikiwa Liverpool wameruhusu magoli mengi sn ya kizembe Man u wamekuwa wagumu sn kuruhusu magoli na mchezo ambao wameruhusu magoli mengi ni dhid ya stoke city katika sare ya 2-2.Nikigeuka upande wa makocha nikianza na kocha wa timu mwenyeji klopp ni muumin sana katika kushambulia na wamekuwa wakitengeneza nafasi nyingi katika kila mchezo lakini kwa bahati mbaya kwake wameweza kutumia chache kati ya hizo huku mourinho Ni muumin sn wa kuimarisha ulinzi kwanza na kwake ni bora apate suluhu ya 0-0 kuliko sare ya 4-4.Kwa kuwa ni muhoga sana wa kuruhusu magoli sasa binafsi nawapa man u nafasi kubwa ya kupata MATOKEO mbali ya timu zote kupatwa na majeruhi.Ushindi pekee ambao klopp anaweza kupata katika huu mchezo ni sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…