Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kama mjuavyo Anfield ni uwanja mgumu sana kwa Man Utd, Meneja wa Man Utd Jose Mourinho anawakosa wachezaji muhimu kama Pogba na Fellaini lwenye idara ya kiungo. Hivyo namuona Jose kesho atakavyojihami kwa kupaki Meli na wala sio basi tena ili kuzuia kasi ya Liverpool.
Nategemea kesho wachezaji kama Darmian, Ashley Young na Lingard kuanza first eleven huku muda mwingi wakikaba sana katka formation ya 7-3-0
Martial hana nafasi kwa mechi ya kesho kwa akili za Jose.
Pamoja na mbinu zote za kujihami zitakazotumiwa na Jose, Man Utd kesho atafungwa na kupata kipigo chake cha kwanza cha msimu ktk ligi.
Asanteni.
Mapovu ruksa.