boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,033
We jamaa hama sasaBeki zenyewe za kina Moreno na Matip... Kesho Liverpool mnachezea za kutosha. United wapo kwenye form sana. Kesho Liverpool ikipata shots on target hata mbili nahama JF.
Mambo yametuwea magumuDuh maisha haya dikutegemea Kama kuna muda tunakuwa pamoja kiasi hiki..
Yaani leo 4G Kama kawaida yetu
viceversa is true
Man U....Nipigie hao jamaa za kutosha...
Game ya leo ni ngumu sana, ila kwa mbinu za kocha naamini tutatoka na ushindi japo kwa mbinde sana.
GGMU
Duh maisha haya dikutegemea Kama kuna muda tunakuwa pamoja kiasi hiki..
Yaani leo 4G Kama kawaida yetu
Jiandae kisaikolojia kuona Liverpool wakidhalilishwa
Kesho atapigwa mtu sana utapigwa mwingi sana! Nimefurahi Felaini hayupo Herrera afanya uchafu wake pale kati alaf yupo mpiga piano hatari Matic mtu mbaya sana yule jamaa! Na roho inauma Mane kaumia mmepata kisingizio!
Beki zenyewe za kina Moreno na Matip... Kesho Liverpool mnachezea za kutosha. United wapo kwenye form sana. Kesho Liverpool ikipata shots on target hata mbili nahama JF.