Liverpool Vs Man Utd: Kesho Mourinho anaenda kupaki Meli

Liverpool Vs Man Utd: Kesho Mourinho anaenda kupaki Meli

078a68265eab2df8a7d9770ef7e960b1.jpg
 
Molinyo atakaa hawezi kutoka liver hata wakiwa na hali ngumu vipi lazima wapate point hata moja. Siioni man ikichomoka.
 
Binafsi si amini lakini ukweli leo umesimama hivi, Man U 0-2 Liv.
 
Kesho atapigwa mtu sana utapigwa mwingi sana! Nimefurahi Felaini hayupo Herrera afanya uchafu wake pale kati alaf yupo mpiga piano hatari Matic mtu mbaya sana yule jamaa! Na roho inauma Mane kaumia mmepata kisingizio!

Je Leo Ulimuona huyo Matic wako??
Haya Ndiyo Madhara Ya Kuanza Kupenda Mpira 2010
 
Beki zenyewe za kina Moreno na Matip... Kesho Liverpool mnachezea za kutosha. United wapo kwenye form sana. Kesho Liverpool ikipata shots on target hata mbili nahama JF.


Hama Sasa!! Lakini Utakuja Kivyengine na ID mpya...
Labda Nikushauri tu! Kaangalie Stats Za Hii Match Liverpool Wamepiga Ngapi on Target?

Haya Ndiyo Madhara Ya Kuanza Kupenda Mpira 2010
 
Back
Top Bottom