Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu dogo ni mnyama sanautashangaa watu wanapiga kelele Nyokores Nyokores, mwamba huyo hapo msomali katua Anfield na atawaweka nyingi sana
Bongo?Wapi nitapata Jersey OG ya Liverpool
Wanaleta uingerezaSijui Man United wanafeli wapi kusajili vyuma kama hivi ambavyo kukupa goli kuanzia 10+ kwa msimu ni jambo la kawaida.
Kwenye maduka ya jersey mfano huko mlimsn city au kariakoo.kwa wahindi zipo nyingi hukoWapi nitapata Jersey OG ya Liverpool
Ela ipo mkuu.King faisal tungeitoa hii hela tungefilisika 🤣🤣🤣🤣