Liverpoolfc: Ulionywa kwamba KAUNDIME ni habari ingine ukabisha, sasa kiko wap?

Liverpoolfc: Ulionywa kwamba KAUNDIME ni habari ingine ukabisha, sasa kiko wap?

Wewe mjinga watake radhi hawa wakongwe wa A town acha kutoa misemo mingine isiyo na macho.


Keifo
Nashukuru kama umetambua kuwa mimi ni mjinga.

Mungu akubariki usiwe mjinga.
 
Last edited by a moderator:
Unajua kuna kitu unaafuta wewe..
Tangu nilipokurudisha kijijini nilikuwa naishi kwa amani lakini sasa umerudi mjini, sasa unataka kunipandisha presha..

We subiri urudi nyumbani....... Hakuna rangi utaacha ona.............. Source Preta

Mtambuzi, mwanao Cantalisia ana hoja ya msingi ujue....
 
Last edited by a moderator:
kapicha ka ospitali kamenikumbusha mbali lol,
supu ya utumbo kwenye kimgahawa cha Dr nanihiii......

na huko ndo zinapochezwa ndembendembe so kaa chonjo LiverpoolIFC
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi. Machalii wa Arausha + Kilimanjaro ni mambumbu wa mapenzi. Wanawaza pesa tu.

Tafadhali toa taarifa ktk kituo cha polisi kilichokaribu na wewe.
Mzee tengua kauli yako haraka.............. sekunde machalii tutakufanya bachela
 
Last edited by a moderator:
KAUNDIME.png
 
Back
Top Bottom