Kama ndio hivyo, huyo LiverpoolFC hakuna rangi ataacha 'ona!!! Mtambuzi embu nijuze namna ya kukontakti na Kaundime! Please!!!!
Mhhhhh.....ngoja nipige kimya kwanza lol
Unajua kuna kitu unaafuta wewe..
Tangu nilipokurudisha kijijini nilikuwa naishi kwa amani lakini sasa umerudi mjini, sasa unataka kunipandisha presha..
We subiri urudi nyumbani....... Hakuna rangi utaacha ona.............. Source Preta
best! happy to see u here...
hope uko poa zaidi!!