Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mmmmh! Wacha tu jamani.
Halafu mbona nawe cjakuona kabisa jijini? Ama uli.......banwa!
Nimejilaumu sana kwa nini siku ile nilibanwa mpaka nikawahi kuondoka....
Yani Mkuu nilikumbuka sana jambo hilo la kutokukaa kwako. Yani wachaa tu!
Jumatatu nitakuja chuga mkuu...utakuwepo?
Jumatatu nitakuja chuga mkuu...utakuwepo?
Salaam hii iwafikie hata member hawa
Lily Flower Blaki Womani Erickb52 Loner GanjaPlanter Chasha Crashwise Mungi Jackbauer lomayan marejesho na hata sweetlady
anakaribishwa sana Vin Diesel ndio unakuja kumwona mtoto toka kipindi kile?
anakaribishwa sana Vin Diesel ndio unakuja kumwona mtoto toka kipindi kile?
Blaki Womani eti Vin Diesel alimtelekeza mtoto hapa A town ama ni matani?
Kha ha ha ha ha ha haaaa! Mbona itapendeza jamani akija na majibu yasiyo na mawimbi.
Vin Diesel kuja huku!
Mkuu nahisi nimebambikwa hapa.....kwanza hata sijui anaetaka kunibambika ni nani....
bahati yako, maana nilisha andaa surprise ya sindano ya sumu...!