Liverscore wamepost mechi ya kirafiki CSKA Moscow na Simba, very amazing

Mkuu ndo mara ya kwanza kufwatilia LiveScore?
Mbona hata ligi yetu mechi za mtibwa vs kmc huwa zinawekwa.
 
Sasa unashanga simba kuwekwa live score, mbona ata mtibwa au namungo uwa wanawekwa🤔
 
Yaani jamaa kaona swala la ajabu sana timu kuwekwa live score. Live score wanaweka karibia matokeo ya kila aina hadi ligi ya palestina ipo mle.
Hawa jamaa huwa wanapenda kukuza mambo yaonekane ya ajabu kumbe ni kitu cha kawaida tu.
 
Yaani jamaa kaona swala la ajabu sana timu kuwekwa live score. Live score wanaweka karibia matokeo ya kila aina hadi ligi ya palestina ipo mle.
Huyo ni MshambaMshamba wa huko Chitohoro..
 
Hii mechi iko wazi, simba anachezea kichapo. Wajitahidi tu kupunguza idadi ya magoli
 
Ujinga mwingine bana.... LiveScore wanapost mpaka matokeo ya ligi ndogo Kama ya Burundi ajabu ni katika hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…