Liverscore wamepost mechi ya kirafiki CSKA Moscow na Simba, very amazing

Liverscore wamepost mechi ya kirafiki CSKA Moscow na Simba, very amazing

Mkuu ndo mara ya kwanza kufwatilia LiveScore?
Mbona hata ligi yetu mechi za mtibwa vs kmc huwa zinawekwa.
 
hata mechi ya kwanza waliyocheza Simba na Al Dhafra ilikuepo live score.
Screenshot_20230115-111831.png
 
Nimepitia asubuhi mtandao wa livescore kuangalia gemu za Leo ili nitumbukize mzigo, nimeona kwenye sehemu za club friendlies kuna gemu nzito baina ya CSKA Moscow na Simba, hiyo ni fursa kubwa kwa Simba kusomeka ktk ramani ya dunia.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Sasa unashanga simba kuwekwa live score, mbona ata mtibwa au namungo uwa wanawekwa🤔
 
Yaani jamaa kaona swala la ajabu sana timu kuwekwa live score. Live score wanaweka karibia matokeo ya kila aina hadi ligi ya palestina ipo mle.
Hawa jamaa huwa wanapenda kukuza mambo yaonekane ya ajabu kumbe ni kitu cha kawaida tu.
 
Yaani jamaa kaona swala la ajabu sana timu kuwekwa live score. Live score wanaweka karibia matokeo ya kila aina hadi ligi ya palestina ipo mle.
Huyo ni MshambaMshamba wa huko Chitohoro..
 
Hii mechi iko wazi, simba anachezea kichapo. Wajitahidi tu kupunguza idadi ya magoli
 
Ujinga mwingine bana.... LiveScore wanapost mpaka matokeo ya ligi ndogo Kama ya Burundi ajabu ni katika hili?
 
Back
Top Bottom