Livescore; Yanga Vs Mobejaja -13.08.2016

Status
Not open for further replies.
Timu ndio zinaingia uwanjani sasa Na muda wowote mechi inaanza
 
Dakika ya 1 Mo bejaia wamefanya shambulizi la kushtukiza katika lango la yanga
 
hawa fitna waliyofanyiwa na yanga hawataisahau, mabegi yao yamepelekwa Tokyo wao jkia hapo hawana irizi watachapwa kama watoto, wamelishwa maandazi tangu jumanne.
Hahahaah mkuu sikupata hicho kilichowakumba hawa mo bejaia. Ni nini walifanyiwa??
 
Yanga wanashambuliwa sana hivi sasa
 
Dakika ya 18 Andrew Vincent nje anaingia Kelvin Yondani. Vincent ameumia Na anaonekana hawezi kuendelea tena
 
Dakika ya 20........Yanga 1 Mo Bejaia 0
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…