Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Channel gani wanaonesha mkuu?Mechi imeanza sasa
Pole bet lostnaibetia 10min X, Yanga haiwezi kufungwa kitoto kiivyo, gemu Yanga anashinda au suluhu.
ZBC 2 mkuu kama una king'amuzi cha azamChannel gani wanaonesha mkuu?
Amina.Mungu ibariki Yanga...
Thanks. Daah nina dstv tu mkuuZBC 2 mkuu kama una king'amuzi cha azam
Huko nasikia SABC wanaonesha.Thanks. Daah nina dstv tu mkuu
Kuna vijimakosa yanga wanafanya hapo katikati Na kuwaachia jamaa watawaleTunashambuliwa mno
hawa fitna waliyofanyiwa na yanga hawataisahau, mabegi yao yamepelekwa Tokyo wao jkia hapo hawana irizi watachapwa kama watoto, wamelishwa maandazi tangu jumanne.Pole bet lost
Hahahaah mkuu sikupata hicho kilichowakumba hawa mo bejaia. Ni nini walifanyiwa??hawa fitna waliyofanyiwa na yanga hawataisahau, mabegi yao yamepelekwa Tokyo wao jkia hapo hawana irizi watachapwa kama watoto, wamelishwa maandazi tangu jumanne.
Amina, Amina Kaka Katavi leo tunataka kudhihirisha, kuwa sisi ni Wakimataifa...Amina.
Mnashinda leo Dada.