Livescore-Yanga Vs Ndanda FC 'WANA KUCHELE' 01/02/2015

Livescore-Yanga Vs Ndanda FC 'WANA KUCHELE' 01/02/2015

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
download (1).jpgyeboyebo

vs

download.jpgwana kuchele

Historia ya Ugenini Inawabeba Ndanda FC

Kama kawa naelekea uwanjani...........

Bantu Lady, Masuke, Shark, Revocatus Kashaja, Grafani, Bello, Sembu, Mkolaj na Makoye Matale (leo siyo Sabato), yahoo etc chukueni jahazi la kutuarifu yanayojiri .............

==========
==========

Matokeo ya Mwisho: Yanga 0 - 0 Ndanda
 
TAFRANI KIDOGO ILITOKEA WAKATI WA PRE METCH MEETING BAADA YA VIONGOZI WA Ndanda FC KUTINGA NA KANDAMBILI KIKAONI JAMBO LILILOTAFSIRIWA KIUTANASHATI NA KIUSHIRIKINA, Tiboroha alichukua jukumu la kuwanunulianviatu pale karume
 
Amavubi Jana umetoka SAA ngapi uwanjani!!?

Leo naleta ukanda,so nitashabikia timu kutoka kusini kwetu

Ndanda msifanye kama Ruvu Jana.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wadau sijawaona kitamba hapa jamvini mwenye taarifa zao.
watu hao ni Mandieta. Kitoabu.
 
Last edited by a moderator:
mjini patulie walau

kama kuanzia viongozi, makocha na wachezaji takribani 23 kati ya 27 walionao ndanda fc ni wapenzi wakubwa wa yanga leo unategemea nini taifa? twendeni tu kwakuwa hatuna pa kwenda ila leo kuna karamu ya magoli taifa. umeshamwona mmakonde anaipenda simba? wengi wao ni yanga lia lia na wanaipenda yanga kuliko hata hiyo gesi mnayodai ipo huko ntwara.
 
View attachment 223300yeboyebo

vs

View attachment 223301wana kuchele

Historia ya Ugenini Inawabeba Ndanda FC

Kama kawa naelekea uwanjani...........

Bantu Lady, Masuke, Shark, Revocatus Kashaja, Grafani, Bello, Sembu, Mkolaj na Makoye Matale (leo siyo Sabato), yahoo etc chukueni jahazi la kutuarifu yanayojiri .............

Nipo Mkuu. Jana mmetufunga, leo na sisi tunawafunga ili mzidi kuisoma namba kama siyo kufuata nyayo tulikopitia.
 
nakusanya nyuzi za aina hii, kama kunamwingine auweke hapa maana ndio natoka sasa nikawahi parking
Ndanda kumfunga yanga ni sawa na paka kumkimbia panya.

kama kuanzia viongozi, makocha na wachezaji takribani 23 kati ya 27 walionao ndanda fc ni wapenzi wakubwa wa yanga leo unategemea nini taifa? twendeni tu kwakuwa hatuna pa kwenda ila leo kuna karamu ya magoli taifa. umeshamwona mmakonde anaipenda simba? wengi wao ni yanga lia lia na wanaipenda yanga kuliko hata hiyo gesi mnayodai ipo huko ntwara.

Utabiri murua huu na ubaki kama ulivyo.

Au ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
View attachment 223300yeboyebo

vs

View attachment 223301wana kuchele

Historia ya Ugenini Inawabeba Ndanda FC

Kama kawa naelekea uwanjani...........

Bantu Lady, Masuke, Shark, Revocatus Kashaja, Grafani, Bello, Sembu, Mkolaj na Makoye Matale (leo siyo Sabato), yahoo etc chukueni jahazi la kutuarifu yanayojiri .............
Usijali mkuu Amavubi,
Mimi nitareport goli la kwanza la yanga litakalofungwa ndani ya dakika 10 za mwanzo za kipindi cha kwanza, baada ya hapo nitawaachia kijiti wenzangu aakina Makoye matale, Bantulady, NGANU, na yahoo waendelee kuripoti magoli mengine kuanzia goli la pili hadi la tano.
 
Back
Top Bottom