Livestream firing squad execution of Nidal Hasan, Je utaiangalia au utashindwa?

Livestream firing squad execution of Nidal Hasan, Je utaiangalia au utashindwa?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
makamu wa raisi Vance yeye ameshachomoa na kusema kama ikiwa live hatoiangalia, je vp wewe?

"We'll make sure that people are able to watch it, that it's public.". - Hegseth (waziri wa vita wa USA).

Nidal Hasan siku yake mwisho imepangwa kuwa december 3 mwaka huu ...
1791650312369.png

View: https://twitter.com/i/status/2108618335499829591
 
View attachment 3688092

View: https://twitter.com/i/status/2108618335499829591

Of what use! Kujipa hallucinations za bure kwa mtu mwenye imani njema. Sawa he did a very brutal thing, but kuonesha si sawa, ila wacha anyongwe.
 
Of what use! Kujipa hallucinations za bure kwa mtu mwenye imani njema. Sawa he did a very brutal thing, but kuonesha si sawa, ila wacha anyongwe.
Ni sawa yeye alivouwa wenzie, vipi wenye mawazo kama yake watajifunza vipi? Hili ni somo zuri sana kwa wafia dini
 
Kwani wakiwakamata na kukaa kimya wataharibikiwa nini? Maana kwa namna hiyo wanatemgeneza wehu wengine wengi tu.
 
Yaani wewe uwaite viongozi wa Nchi ya marekani vichaa na wapumbavu?

Hao viongozi wenye busara wako wapi na Nchi zao ni zipi kwani?

Kila Nchi Ina Sheria na kanuni zake za kuendesha Nchi:
Maendeleo ya nchi ndio ishara ya Uongozi Bora:
Unataka uwapangie viongozi wa Marekani namna Bora ya kuendesha Nchi Yao:
Kwanini usianze na viongozi wa Nchi yako kwanza:
 
Back
Top Bottom