Of what use! Kujipa hallucinations za bure kwa mtu mwenye imani njema. Sawa he did a very brutal thing, but kuonesha si sawa, ila wacha anyongwe.makamu wa raisi Vance yeye ameshachomoa na kusema kama ikiwa live hatoiangalia, je vp wewe?
"We'll make sure that people are able to watch it, that it's public.". - Hegseth (waziri wa vita wa USA).
Nidal Hasan siku yake mwisho imepangwa kuwa december 3 mwaka huu ...
View attachment 3688092
View: https://twitter.com/i/status/2108618335499829591
Unataka uiangalie kwenu wewe ni chinja chinja wa Oct 29 na baada au?makamu wa raisi Vance yeye ameshachomoa na kusema kama ikiwa live hatoiangalia, je vp wewe?
"We'll make sure that people are able to watch it, that it's public.". - Hegseth (waziri wa vita wa USA).
Nidal Hasan siku yake mwisho imepangwa kuwa december 3 mwaka huu ...
View attachment 3688092
View: https://twitter.com/i/status/2108618335499829591
Ni sawa yeye alivouwa wenzie, vipi wenye mawazo kama yake watajifunza vipi? Hili ni somo zuri sana kwa wafia diniOf what use! Kujipa hallucinations za bure kwa mtu mwenye imani njema. Sawa he did a very brutal thing, but kuonesha si sawa, ila wacha anyongwe.
Marekani ya Sasa inaongozwa na vichaa.makamu wa raisi Vance yeye ameshachomoa na kusema kama ikiwa live hatoiangalia, je vp wewe?
"We'll make sure that people are able to watch it, that it's public.". - Hegseth (waziri wa vita wa USA).
Nidal Hasan siku yake mwisho imepangwa kuwa december 3 mwaka huu ...
View attachment 3688092
View: https://twitter.com/i/status/2108618335499829591
Nani kakuambia hili.Hiyo ndio dawa ya magaidi.
siyo vichaa, ni wapumbavu.
Mbona hakujilipua sasa ?Nani kakuambia hili.
Kama gaidi anaweza kujilipua akafa na watu kadhaa ndio aogope kuuawa kwa risasi ?