Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Heshimu mkuu!hivi hii club bado inapatikana pande zetu zileeeeeee..........za barabara ya ngapi cjui...u hv jst draw back ma old memory dude!Miaka mia unataka kukomaa uwe mbao na kuchanwa kwa ajili ya matumizi. Miaka mia na castles, totoz, magonjwa, uncertainties, La Casa Chica, Bilz, Mgao wa Umeme, Sukari juu, Rostam, EL, foleni etc...... acheni utani knowing counting to hundred haihusiani kbs na living a hundred years.....