Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

Nashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ulisikia jokate amealikwa kwenye hiyo event?? Huyo alikuwa anatuambia lazima tujue kutofautisha kati ya wasoma namba na wasioisoma namba, habari za team fulani mara team fulani hiyo inafanya uonekane unamawazo yaleyale kila kukicha, suala la kupewa bendera ya nchi fulani tulishaachana nayo
 
Nashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!
Acha tu viroba vipigwe ban trh moja.
 
Yaani we msukule roho imekuuma kweli kweli ebooooo.

Najua unavyotamani wewe ndio ungekuwa Jokate.
Jay: hello!
Blue: can I assist you with something!?
Bey: just pretend you don't see her! Maybe she'll go away!!
 
Nasikia haya ndo yaliyomkuta jokate baada ya kujishobokesha kwa the Carter's

Jay: hello!
Blue: can I assist you with something!?
Bey: just pretend you don't see her! Maybe she'll go away!!
 
Nashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!
HAHAHAHAHAA ai see!
 
Nasikia haya ndo yaliyomkuta jokate baada ya kujishobokesha kwa the Carter's

Jay: hello!
Blue: can I assist you with something!?
Bey: just pretend you don't see her! Maybe she'll go away!!
Acha wivu kama mtoto wa kike, ukute hata ndege hujawahi panda..
 
Back
Top Bottom