[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ulisikia jokate amealikwa kwenye hiyo event?? Huyo alikuwa anatuambia lazima tujue kutofautisha kati ya wasoma namba na wasioisoma namba, habari za team fulani mara team fulani hiyo inafanya uonekane unamawazo yaleyale kila kukicha, suala la kupewa bendera ya nchi fulani tulishaachana nayoNashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!
Yaani we msukule roho imekuuma kweli kweli ebooooo.Beyonce mbona hana habari kala mkausho mkali
Kwa mara ya Kwanza anamuona mtu mzuri kuliko mama akeHako katoto Mbona kanamshangaa Sana Huyo anayeitwa jokate??
dadadeki!Hebu ulizia bei ya hivyo vitu walivyovaa thamani yake unaeza ukauza hio nyumba yenu ya urisi? Halafu Ujue mwenzio ni mwanamitindo wewe endelea kuvaa Madera tu
Haaaa haaaa ohooooOhooooo!!!
Tena anakidoti.Kwa mara ya Kwanza anamuona mtu mzuri kuliko mama ake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaaa haaaa ohoooo
Acha tu viroba vipigwe ban trh moja.Nashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu viroba vipigwe ban trh moja.
Jay: hello!Yaani we msukule roho imekuuma kweli kweli ebooooo.
Najua unavyotamani wewe ndio ungekuwa Jokate.
HAHAHAHAHAA ai see!Nashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!
Envy ni WIVUEnvy kwa kiswahili,bado kutoholewa.😛
Acha wivu kama mtoto wa kike, ukute hata ndege hujawahi panda..Nasikia haya ndo yaliyomkuta jokate baada ya kujishobokesha kwa the Carter's
Jay: hello!
Blue: can I assist you with something!?
Bey: just pretend you don't see her! Maybe she'll go away!!
mkuu screpa hii avatar yako ndio wewe mwenyewe?Tanzania kila kitu tuko nyuma, ila Jokate ameona isiwe tabu ajitoe ufahamu ashoboke ili aipeperushe bendera ya Tanzania, anastahili mapokezi makubwa uwanja wa Taifa
Kupanda ndege kwng na kujishobokesha kwa jokate kuna uhusiano ganiAcha wivu kama mtoto wa kike, ukute hata ndege hujawahi panda..
hata mie siamini kama ni jokateha haaa haaa yaani upo serious kabisa eti sio joketi!
kuna watu wabishi aseee
Nenda millard ayo tv au jana clouds walimuulizahata mie siamini kama ni jokate