amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 463
Hata ukivaaa utaonekna ni shida tu maana hakuna anayekufaham zaid ya watu watajua umeanza kudata tuHee! Hawa jamaa vipi? Embu ona mtoto wa Jay Z kavaa zile raba za DHL (Dingi hana uwezo) na pia ona kituko alichovaa Beyonce, iyo nguo pamoja na umasikini wangu hata siwezi kuivaa! Kweli maisha ni yale yale tu...
HahahahahaaaaKwa mara ya Kwanza anamuona mtu mzuri kuliko mama ake
lol, watu wabishiii.ha haaa haaa yaani upo serious kabisa eti sio joketi!
kuna watu wabishi aseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohooo
Nashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!
kaulize kenyewe instagramHako katoto Mbona kanamshangaa Sana Huyo anayeitwa jokate??
Mr Tall miguu juu kafulia nilimkuta kwa mtogole anakula ngwala za kuku na chachanduAu ndo alikuwa anamfuata mr Tall Hasheem? Hiyo safari Kiba aliandika maumivu
Beyonce alishamnunulia Jigga flight achana na nguo,mpenzi wako ananoga zaidi akiwa bila nguo kuliko akiwa na nguoYaani hela zote hizo Jigga anashindwa kumnunulia mkewe nguo mpya mpaka avae matambara hivyo?
Hata ile Range Rover kauza?Mr Tall miguu juu kafulia nilimkuta kwa mtogole anakula ngwala za kuku na chachandu
Iyo nguo beyonce alipokua anaivaa sijui ilikuajeHabari wadau...
Hii awamu ya kuisoma namba ni kweli namba tunaisoma wote au watumishi tu..Mfanyabiashara maarufu wa nywele za kidoti amejipa outing kidogo ya kwenda kuchek NBA all star game...
Ambapo alipata favour ya NBA africa kumsogeza na kusalimiana na Jay z na beyonce
Ushasema madale, na kule ni USACheck kitoto kilivopendeza!!! Mpaka kinavutia!!! Haya njoo sasa huku kwetu madale!!! Mtoto kasuka mirasta mingiiiiiii mpaka kichwa kinamuuma!!
Hongera ya kujikomba!!! u must be jokingHongera kidoti