Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Umeona mkuu, hatari sana hiiKatiba ya kujua kusoma na kuandika kama sifa ya mbunge inaleta dharau kwa wasomi,yaani muuza kahawa anakuja sema ana maisha mazuri kuliko msomi kisa kupiga domo na kujipendekeza tu.
Mkuu....Basi sitakaa nimlaumu tena Lusinde, mtu anatembea na Housegirl? tena ukute under 18? Kha
Lakini sahivi anampeleka rais kila mwezi Chato kuboostHiyo cha mtoto, kuna mwingine alikuwa DJ kwenye bar ya baba yake,
Basi sitakaa nimlaumu tena Lusinde, mtu anatembea na Housegirl? tena ukute under 18? Kha
Kwanza maisha mazuri yakoje?Katiba ya kujua kusoma na kuandika kama sifa ya mbunge inaleta dharau kwa wasomi,yaani muuza kahawa anakuja sema ana maisha mazuri kuliko msomi kisa kupiga domo na kujipendekeza tu.
Katiba ya kujua kusoma na kuandika kama sifa ya mbunge inaleta dharau kwa wasomi,yaani muuza kahawa anakuja sema ana maisha mazuri kuliko msomi kisa kupiga domo na kujipendekeza tu.
changamoto unasema dharau?Katiba ya kujua kusoma na kuandika kama sifa ya mbunge inaleta dharau kwa wasomi,yaani muuza kahawa anakuja sema ana maisha mazuri kuliko msomi kisa kupiga domo na kujipendekeza tu.
Maisha mazuri ni nini? Wanayapimaje? Ni magari, nyumba, elimu, vyeo au ni nini? wanatumia vigezo gani kuhitimisha kuwa Lusinde ana maisha mazuri kuliko maprofesa na wasomi waliotajwa humu?Yaani ana maisha mazuri kuwashibda Prof Luoga na Kabudi, hii dharau kubwa sana
Mtu anasimama kwenye mkutano wa fursa kisha anaongea huu utumbo? serious? ndo maana nasemaga kuwa hii mikutano ya fursa ya kina clouds ni upotoshaji wa hali ya juu, mimi ni navyojua kuwa mafanikio hayana formula la kama ni hivyo je kuna wauza kahawa wangapi wamefikia hatua ya ubunge ambao wametumia njia alotumia yeye?Mbunge wa Mtera mh Lusinde ( Kibajaji ) amesema katika ujana wake alikuwa ni muuza kahawa maarufu pale Kawe ambapo alijulikana kama Stone. Lusinde amesema yeye elimu yake siyo rasmi na kwa hiyo hana cheti chochote cha taaluma ila anajivunia mafanikio makubwa aliyonayo kuwapita hata hao wenye PhD.
Amesisitiza kwamba akiwa muuza kahawa alibahatika kumuoa house girl na waliishi maisha ya kuunga unga lakini kwa sasa mke wake huyo anaendesha Prado VX, hivyo anamshukuru Mungu na kufafanua kuwa kiini cha mafamikio yake ni uaminifu, nidhamu na heshima ya hali ya juu aliyonayo.
Mh Lusinde ameyasema hayo yote katika semina ya fursa anzia sokoni iliyoandaliwa na Clouds Media na kurushwa luningani mubashara kupitia Clouds Tv jana mjini Dodoma.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Nawasilisha!
Hahahaa......!!!Mtu anasimama kwenye mkutano wa fursa kisha anaongea huu utumbo? serious? ndo maana nasemaga kuwa hii mikutano ya fursa ya kina clouds ni upotoshaji wa hali ya juu, mimi ni navyojua kuwa mafanikio hayana formula la kama ni hivyo je kuna wauza kahawa wangapi wamefikia hatua ya ubunge ambao wametumia njia alotumia yeye?
acha kuita dharau changamoto, haya majivuni ya kijinga ndo huwa siyapendi hapa jf. sisi ambao hatusukumi prado na tumekaa darasani unatuona punda kweli.changamoto unasema dharau?
Hivi kweli ukae darasani haswa ushindwe kusukuma prado?
umeenda kusogeza madarasa tu.huwezi kujitapa umesoma wakati fursa zipo nyomi unabaki kulia lia mitandaoni,umesomea taaluma gani nikupe mchongoprado na tumekaa darasan