Livingstone lusinde namfungulia mashtaka

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
wadau embu naombeni msaada wenu mimi binafsi nimeumizwa sana na matusi aliyotukana lusinde mbunge wa mtera huko arumeru, kifupi namfungulia mashtaka ya kutukana hadharani na kutukana wanachama wa chadema kwa kusema wana mimba ushahidi ninao wa vcd ningependa kujua je inaweza kuathiri matokeo ya uchaguzi kisheria
 
Ndio kwani katiba itamwona hana akili timamu, ingawa wakati anagombea alikuwa na akili timamu.

Kwa kutumia hoja ya kushambulia kwa matusi mfululizo kwa dakika 16,na baadae kwa maneo yake amekiri yeye ni kichaa wa kuzaliwa imedhirisha kuwa sheria haimruhusu kuendelea kuwakilisha wananchi, kwan uwakilishi unataka mtu mwenye upeo na akili timamu.

Atajitetea, kuwa kweli alikuwa amechanganyikiwa, lakini sasa ni mzima, sheria itatamka kwamba tangu tarehe alipochanganyikwa, inabidi litangazwe jimbo wazi.


Atajitetea, ule ulikuwa ni utani tu, sheria itambana kwani kipindi anatania hakuwa kwenye kitchen party, bali alipewa na katiba kisheria, uhuru na jukwaa kwa ajili ya kampeni.


Na kwa kuwa mh lusinde aliapa kuilinda katiba, ni wazi asingetania kwani alijua madhara yake, hapo ndipo utamu wa sheria utakapo letwa. Maana ataambiwa leta mashahidi kama ulikuwa mzima wakati unaropoka ropoka maneno yaajabu.


Kama unataka kum,shtaki, mimi nitakuwa wakili upande wako.
 
unatoa taarifa au unataka ushauri au ??
sijakuelewa
 
NASHUKURU SANA ndugu yangu, nitaku pm kwa msaada zaidi wa kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…