Liwa ni nini?

Aurora

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
7,308
Reaction score
5,272
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao!

Week end njema
 
Binafsi sijakuelewa, next time ukiandika heading lile neno lirudie tena kwny habari, kwa tunaotumia cm ni ngumu kusoma heading yote maana inajifunika au inajificha sababu ya udogo wa screen
 
Binafsi sijakuelewa, next time ukiandika heading lile neno lirudie tena kwny habari, kwa tunaotumia cm ni ngumu kusoma heading yote maana inajifunika au inajificha sababu ya udogo wa screen

Sori,next time i wil do as u said,LIWA ni kitu gani,inapakwa usoni
 
Ooooh ile naipenda ukiipaka mwilini hasa usoni unakuwa unamvuto hivi japo sijui inatokana na nini
 
Habari zenu...

Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho

Inatokana na nini?

Kwa lugha ya malkia inaitwaje?

Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao

Week end njema
NAKUMBUKA KUNA SABUNI ZILIKUWA ZINAITWA IVYO kama sijasahau
 
Reactions: lin
Umenikumbusha Liwa yangu, ngoja niipake...

Ni unga unga hivi nafikiri unatokana na magome ya miti...unapakwa usoni kwa ajili ya kutibu chunusi, Pia hutumika katika kusinga mwili na kufanya ngozi iwe nyororooo...
 
NENO la wachawi Hilo.. Usitamani Kujua maana Yake.. Over
 
Yap liwa inatokana na aina ya mti fulan hvi kwakweli siujui jina lake afu lile gome la mti ndio husagwa au kusuguliwa kwa kutumia jiwe maalum ambao hutoa unga unga laini ambayo ndio liwa yenyewe.

Liwa inapopakwa mwilini au usoni hufanya ngozi ya mahala husika kuwa nyororo na yenye mvuto
 
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao!

Week end njema

ni gome flani ivi, au mti, unasuguliwa kwa maji kwemye sakafu, alafu unga wake unapakwa usoni, sana w.ke ndio hujipaka.
ck izi pia ipo liwa iliotayari kwenye mapakti, ni unga unachanganya na maji unapaka, wanavosema wanasugua uso.
kuna na sabuni za liwa, zenye kazi zinazofanana

kwa lugha ya malkia siijui.
ujuzi wangu unaishia apo
 
most common watu wa pwani wanatumia nafikiri...wangazija nd usiseme wanatembea nazo hadi mijin uson wamepaka..
mi naona sana dada zng..mama na wife
ni mambo ya w.ke, nafikiri wenyewe wanaweza pita apa wazoefu
 
Reactions: lin
Umenikumbusha Liwa yangu, ngoja niipake...

Ni unga unga hivi nafikiri unatokana na magome ya miti...unapakwa usoni kwa ajili ya kutibu chunusi, Pia hutumika katika kusinga mwili na kufanya ngozi iwe nyororooo...

Ok si mbegu ni magome ya mti,huo mti unaitwaje
 
Nashukuru,nimejaribu ku google sijapata maana labda ningepata jina lake kwa lugha ya malkia
 
lugha ya kipwani wabara mtayajua wapi haya mambo!!
 
Nashukuru,nimejaribu ku google sijapata maana labda ningepata jina lake kwa lugha ya malkia

Sidhani km iyo makitu inaweza patikana Google coz sidhani km wazungu do know n' apply such kind of cosmetic
 
Reactions: lin
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…