Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi sijakuelewa, next time ukiandika heading lile neno lirudie tena kwny habari, kwa tunaotumia cm ni ngumu kusoma heading yote maana inajifunika au inajificha sababu ya udogo wa screen
Sori,next time i wil do as u said,LIWA ni kitu gani,inapakwa usoni
NAKUMBUKA KUNA SABUNI ZILIKUWA ZINAITWA IVYO kama sijasahauHabari zenu...
Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho
Inatokana na nini?
Kwa lugha ya malkia inaitwaje?
Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao
Week end njema
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao!
Week end njema
Umenikumbusha Liwa yangu, ngoja niipake...
Ni unga unga hivi nafikiri unatokana na magome ya miti...unapakwa usoni kwa ajili ya kutibu chunusi, Pia hutumika katika kusinga mwili na kufanya ngozi iwe nyororooo...
Yap liwa inatokana na aina ya mti fulan hvi kwakweli siujui jina lake afu lile gome la mti ndio husagwa au kusuguliwa kwa kutumia jiwe maalum ambao hutoa unga unga laini ambayo ndio liwa yenyewe.
Liwa inapopakwa mwilini au usoni hufanya ngozi ya mahala husika kuwa nyororo na yenye mvuto
Nashukuru,nimejaribu ku google sijapata maana labda ningepata jina lake kwa lugha ya malkia