ni gome flani ivi, au mti, unasuguliwa kwa maji kwemye sakafu, alafu unga wake unapakwa usoni, sana w.ke ndio hujipaka.
ck izi pia ipo liwa iliotayari kwenye mapakti, ni unga unachanganya na maji unapaka, wanavosema wanasugua uso.
kuna na sabuni za liwa, zenye kazi zinazofanana
kwa lugha ya malkia siijui.
ujuzi wangu unaishia apo
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao!
Week end njema
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao!
Week end njema
KISWAHILI (kutoka TUKI dictionary)
liwa[SUP]1[/SUP] nm [i-/zi-] sandal-wood paste.
liwa[SUP]2[/SUP] nm [i-/zi-] hedge : ~ nzito imezunguka shamba lake his farm is surrounded by a thick hedge.
liwa[SUP]3[/SUP] nm [i-/zi-] sorghum straw used for making bird traps.
LINGALA
Liwa = death (kufa)
Liwa is Sandal wood in englishHabari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao!
Week end njema
Inaitwa sandalwood powder inatokana na magome ya mti wenye harufu nzuriSidhani km iyo makitu inaweza patikana Google coz sidhani km wazungu do know n' apply such kind of cosmetic
Sandalwood is the nameNashukuru,nimejaribu ku google sijapata maana labda ningepata jina lake kwa lugha ya malkia