Liwa ni nini?

Liwa ni nini?

liwa ni mhongo kwa njina jingine

Mmmhh......................unandanganya sasa,Naijua kwa jina,muonekano wake na kuwa inapakwa usuni
Lakini nilitaka kujua inatokana na nini coz hata watumiaji niliowauliza hawajui
 
ni gome flani ivi, au mti, unasuguliwa kwa maji kwemye sakafu, alafu unga wake unapakwa usoni, sana w.ke ndio hujipaka.
ck izi pia ipo liwa iliotayari kwenye mapakti, ni unga unachanganya na maji unapaka, wanavosema wanasugua uso.
kuna na sabuni za liwa, zenye kazi zinazofanana

kwa lugha ya malkia siijui.
ujuzi wangu unaishia apo

Asante,huo mti unaitwaje
 
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao!

Week end njema

Liwa kwa kiingereza inaitwa Sandalwood, na mti wake huwa unaitwa Msandali kwa kiswahili.
 
KISWAHILI (kutoka TUKI dictionary)

liwa
[SUP]1[/SUP] nm [i-/zi-] sandal-wood paste.
liwa
[SUP]2[/SUP] nm [i-/zi-] hedge : ~ nzito imezunguka shamba lake his farm is surrounded by a thick hedge.
liwa[SUP]3[/SUP] nm [i-/zi-] sorghum straw used for making bird traps.

LINGALA

Liwa = death (kufa)
 
Nashukuru u av real gone so deep
 
Liwa kwa kiingereza inaitwa Sandalwood, na mti wake huwa unaitwa Msandali kwa kiswahili.

I real appreciate dora kwa kunifumbua macho kwenye hili
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko yao!

Week end njema
Liwa is Sandal wood in english
 
Sidhani km iyo makitu inaweza patikana Google coz sidhani km wazungu do know n' apply such kind of cosmetic
Inaitwa sandalwood powder inatokana na magome ya mti wenye harufu nzuri
Wanatumia kwa kujifukiza pia ni mti wa pili duniani kwa bei
Ni $2000 kwa kilo
Ya kwanza kwa bei ikiwa Blackwood kutoka Africa mama
 
Back
Top Bottom