Liwa

Liwa

Joack

Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
31
Reaction score
7
Hello wadau,

Naomba mnisaidie maana ya neno 'LIWA' ni chemical au mmea au kitu gani, Nitashukuru kwa msaada wenu.

Joack
 
maana yake ni tatualiwa kama njeo daraja la 10 b
kwa mfano kaka yule katatuliwa rinda.
 
liwa, inatokana na mti wa Sandalwood,
Inasagwa na kuwa laini sana inatumika kama scrub
Ni nzuri, haina chemical ni pure mti,
 
Yani hata njeo sijui ni kifaa gani na kinatumika wapi ndo maana nimebaki na bonge la mshangao.

ahaahah mi mwenyewe nimemkumbuka mwalim wa kiswahili ila sidhan kama hapo ndo mahala pake
 
Asante, ila nilikuwa nataka kujua katika maana ya product ya mmea sio neno kama kiunganishi. Hope nitasaidiwa.
 
liwa, inatokana na mti wa Sandalwood,
Inasagwa na kuwa laini sana inatumika kama scrub
Ni nzuri, haina chemical ni pure mti,

Asante sana mdau , I real appreciate it!
 
Back
Top Bottom