Ndoa-zenu-kunawatoto-wetu
New Member
- Mar 6, 2014
- 4
- 7
Basoutu (Manyara), umeme unakatika sana.Shida mikoa ya Kusini mnaikumbatia mno CCM, hayo ndo matokeo yake
Hali hii ipo wilaya ya Masasi pia.....tangu umeme umeunganishwa kijijini kwetu sujawahi ona umeme unapatikana ndani ya masa 24 bila kukatwa!!! mwaka sasaIla hii nchi ni kubwa sana jamani, maana kuna maeneo unaweza kaa hata miaka mitano haujasikia yakitajwa...🤣
Kuna Mkoa ambao CCM hawapo..? hiki chama kimechukuwa Tz nzima na kinamiliki Dola. Utakikimbiaje.?Shida mikoa ya Kusini mnaikumbatia mno CCM, hayo ndo matokeo yake
Shida mikoa ya Kusini mnaikumbatia mno CCM, hayo ndo matokeo yake
Hivi jamani ndugu zetu tatizo la umeme na sehemu nyingine mnazoishi ni hivi hivi kama huku tulipo sisi maana huku Wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi siku umeme ukiwaka kutwa nzima kuanzia asubuhi hadi usiku kila mtu anashangaa unahisi umeme una tatizo.
Yaani tushazoea kila siku umeme kukatika, yaani hakuna siku ikaisha bila umeme kukatika.
Nina mwaka wa pili sijawahi kukaa siku nzima umeme ukawaka asubuhi hadi usiku.
Pia soma TANESCO yaomba radhi umeme kukatika mara kwa mara Lindi na Mtwara, yasema kuna kazi ya kufunga
Kusini ya Lindi na Mtwara aijawakumbatia CCM labda Ruvuma na Nyanda za juu Kusini, na hata hvyo ndani ya miaka hii kadhaa ebu tueleze we mwenzetu upo mkoa gani ambapo CCM awapo kwenye ngazi za uongozi kuanzia chini hadi Serikali kuu🤷♂️Shida mikoa ya Kusini mnaikumbatia mno CCM, hayo ndo matokeo yake
Labda line za IkuluHata hapa DSM zinapitabsikubmbili haujakatika?
Huku kuna Rasilimali nyingi na njia nyingi za kupiga hela binafsi nimezaliwa Muhimbili nimekulia Magomeni nimesoma Sinza Mapambano msingi secondary nikasoma Kariakoo Kidongo chekundu Dar Sec ila nipo huku mwaka wa tatu sitoki ng'ooooo, huku kuna machimbo ya madini mashimo futi sita saba chini unapata dini unapiga hela huku biashara zinafanyika hatari, wazungu wamejazana huku, kuna Serou za wanyama pori yaani mafulsa kibao ya kupiga pesa.... Sasa we kaa hvyo hvyo sema mwisho wa Dunia usiishi kwa kukalili Man tembea ujioneeMwisho wa dunia huko umeme wa nini