Ndoa-zenu-kunawatoto-wetu
New Member
- Mar 6, 2014
- 4
- 7
Hivi jamani ndugu zetu tatizo la umeme na sehemu nyingine mnazoishi ni hivi hivi kama huku tulipo sisi maana huku Wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi siku umeme ukiwaka kutwa nzima kuanzia asubuhi hadi usiku kila mtu anashangaa unahisi umeme una tatizo.
Yaani tushazoea kila siku umeme kukatika, yaani hakuna siku ikaisha bila umeme kukatika.
Nina mwaka wa pili sijawahi kukaa siku nzima umeme ukawaka asubuhi hadi usiku.
Pia soma TANESCO yaomba radhi umeme kukatika mara kwa mara Lindi na Mtwara, yasema kuna kazi ya kufunga Mifumo Mipya